Fuatilia Mauzo Yako
Rekodi na fuatilia mauzo ya kila siku.
Kila unachohitaji kusimamia mauzo, stoo, manunuzi na mwenendo wa biashara katika mfumo mmoja rahisi. Kwa biashara za jumla na rejareja.
Jaribu HakikiPOS BURE kwa siku 30.
Picha ya kuonesha matumizi ya HakikiPOS yenye ukurasa halisi wa mauzo.
Unganisha shughuli zako za kila siku ili upate nafasi ya kuendeleza biashara yako.
Rekodi na fuatilia mauzo ya kila siku.
Fahamu bidhaa zilizopo na zinazopungua.
Fuatilia taarifa za biashara yako kupitia mtandao.
Pata ripoti zinazokusaidia kuelewa mwenendo wa biashara.
Kuanzia mauzo ya kwanza hadi ripoti ya mwisho wa siku.
Rekodi mauzo na malipo kwa mpangilio unaoeleweka.
Fuatilia bidhaa, kiasi kilichopo na mwenendo wa stoo.
Rekodi bidhaa zilizopokelewa na taarifa za wasambazaji.
Weka taarifa za wateja na ufuatilie mauzo yao.
Simamia matawi ya biashara yako katika mfumo mmoja.
Andaa ankara na ankara za awali kwa wateja wako.
Rekodi matumizi ili kuelewa gharama za biashara.
Angalia ripoti za mauzo, bidhaa na mwenendo wa biashara.
Simamia wafanyakazi na ruhusa zao za kutumia mfumo.
Tumia mfumo kwa Kiswahili au Kiingereza.
Mwonekano halisi wa zana utakazotumia kila siku.



Rekodi bidhaa zilizopokelewa, kiasi na gharama zake pamoja na taarifa za msambazaji.
Omba demo ili kuona hatua za kurekodi manunuzi ndani ya mfumo.
Ona Manunuzi kwenye DemoFungua akaunti na sajili biashara yako.
Ongeza bidhaa na taarifa za stoo.
Rekodi mauzo, fuatilia stoo na angalia ripoti.
Duka dogo au biashara yenye matawi, panga shughuli zako za kila siku kwa urahisi.
Chagua mpango unaofaa biashara yako. Mipango imepangwa kuanzia muda mfupi hadi mrefu.
Mwezi 1 (30 siku)
TZS 15,000
Anza SasaUna swali lingine? Tupo kukusaidia.
Wasiliana nasi WhatsAppHakikiPOS ni mfumo wa mauzo na usimamizi wa biashara unaokusaidia kurekodi mauzo, kusimamia stoo, manunuzi na taarifa za wateja.
Ndiyo. Unaweza kufungua HakikiPOS kupitia kivinjari kwenye simu, tablet au kompyuta ukiwa na muunganisho wa intaneti.
Ndiyo. HakikiPOS inawezesha usimamizi wa matawi na ufuatiliaji wa taarifa zake kulingana na ruhusa za mtumiaji.
Ndiyo. Unaweza kuongeza wafanyakazi zaidi ya mmoja na kusimamia ruhusa zao kulingana na majukumu yao.
Ndiyo. Unaweza kujaribu HakikiPOS bure kwa siku 30. Bonyeza kitufe cha kuanza ili kwenda kwenye mfumo na kujisajili.
Wasiliana na HakikiSolutions kupitia WhatsApp kwa maelezo zaidi, msaada au kupanga demo ya mfumo.